Download Neno La MunguMistari Ya Biblia Barikiwa na Mungu للاندرويد
Download APK Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu النسخة المجانية Free Download الحجم 15M تنزيل v1.2 المحدثة بتاريخ 2025-03-11، هذا التطبيق من تطوير Mzansi Inc za ومتوافق مع هواتف Android 4.2 والأحدث.
Pakua App hii kwenye simu yako bure kabisa، hakika utafurahia Neno la uzima.Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya، hivyo basi mpendwa katika Krista unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku، Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.
ما هو الجديد
التطبيق: hii imeboreshwa zaidi sasa furahia yafuatayo
1. Utapokea ujumbe mfupi (Notification) Kila mara neno jipya linapowekwa
2. Utaweza kusoma masomo yaliyopita hata kama hauna kifurushi cha internet
3. Utaweza kuwashirikisha wengine neno la siku husika kupitia whatsapp، facebook،.
Download APK الاصدار 1.2 المجاني Free Download من Mzansi Inc za
يمكنك تحميل Neno La MunguMistari Ya Biblia Barikiwa na Mungu APK Download 1.2 للاندرويد مجاناً Free Download الآن عبر متجر الأندرويد العربي من الروابط أدناه.
